Home » Music » Song of the Day
Propeller Feat Demaquizzo by Leteipa the King
From the album

Album Title: Propeller
Vampk254 Music
Released: 2022
Listen
Sign in to view listen count
About the Album
#INTRO Yeiyeiyeeeh Ni Vampk Iyeeyeiyeeaah, 254 #VERSE Unanigusa maini ukiinama Joto linapanda mbona nachomeka Iyeeeh Ukizungusha mashini sifai mama Kopo linajaza donda watonesha Mi ndo shati we ndo tai (Huuuh! Huuuh!) Osha nikuchafulie Mi sukari we ndo chai (Huuuh! Huuuh!) Ntaonja unipakulie Na umeniweza Unavyopendeza Yangu makengeza babe Na unavyocheza Ukijilegeza ntakutendereza lady Si uko fine, unavyowine Unanitease na skills zako divine Ladha ya wine, njoo nikumine Unifilis na bills zako simind #CHORUS (Propellar) Uuuuuuiiih (Propellar) Tingisha kiuno kipropellar (Propellar) eeeeh Iyeeeh Tingisha kiuno kipropellar (Propellar) (Propellar) (Propellar) (Propellar) (Propellar) #VERSE Chiii! Kwanza katoto kiuno, uno uno Kanakatika miuno, uno, (eeeeeh) Nishike kwa juu mama humo humo humo Pepeta ukiwa huko, huko, huko Mhhh Laiti kama ungelijua we ndo wangu dua Umenishika kwa chini Yaani mpaka nazuzua Yaani popo eeh poporipo Nishike kwa chini hadi kokoriko Mtoto jojo ana doido Kashingo kembamba ni poporipo Kwanza fanya unainama (Sare sare) Maua sama Zungusha body mama kaitaba (Sare sare) Asa ma kiuno kata Unafanya mizuka inapanda (Sare sare) Chekecha ninakuapia Unapiga miuno kisamantha (Sare sare) Hadi mimi ninajifia #CHORUS (Propellar) (Propellar) Tingisha kiuno kipropellar (Propellar) eeeeh Iyeeeh Tingisha kiuno kipropellar (Propellar)
Tracks
Propeller
Personnel
Leteipa the King
guitar, acousticDate featured
This song appears by permission of the contributing artist and/or record company. It is for personal use only; no other rights are granted or implied.